Tembo Media channel logo Tembo Media
  • Custom URL: @tembomedia
  • Country: Tanzania 🇹🇿
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 19K
  • Video Views: 341.23K
  • # videos: 53
  • Estimated Earnings: $85 - $1.36K
  • Category: Entertainment Humor Music
  • Date Created: 2018-07-27
  • Date Updated: 2024-07-02
Audience activity: 17
Views per video: 6.44K
Keywords: Tembo media


KARIBU { WELCOME } Tembo Media Ni Channel maalum ya Habari za ,Burudani, Exclusive interviews za mastar mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania. Tembo Media Tunazingatia misingi ya uhariri kwa kufuata:- -Kuripoti Habari kwa kutoa fursa sawa pande zote. -Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udini, ukabila na mambo yote yanayoweza chochea uchochezi. -Kuripoti habari za kweli -kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu (subscribers na unsubcribers) Tembo Media inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa. Pia Tembo Media kukufundisha na kukuelimisha kuusu Afya ya Mazingira Mwili na Mahusiano ya ndoa. . SUBSCRIBE TUNAKUAHIDI KUKULETEA KILICHO BORA ZAIDI AHSANTE