Denis Mpagaze TV channel logo Denis Mpagaze TV
  • Custom URL: @denismpagazetv
  • Country: Canada 🇨🇦
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 38.3K
  • Video Views: 2.02M
  • # videos: 239
  • Estimated Earnings: $505 - $8.09K
  • Date Created: 2021-02-04
  • Date Updated: 2024-06-20
Audience activity: 52
Views per video: 8.46K
Audience growth speed: 30
Keywords: Denis Mpagaze Mpagaze Denis Ukombozi wa Fikra Makala za Denis Mpagaze denis mpagaze denis mpagaze na ananias edgar denis mpagaze youtube denis mpagaze umaskini na utajiri denis mpagaze wanawake denis mpagaze magufuli denis mpagaze mix denis mpagaze 2023 denis mpagaze all story denis mpagaze audio download ananias edgar & denis mpagaze 2023 ananias edgar & denis mpagaze wanawake ananias edgar & denis mpagaze magufuli denis mpagaze na ananias edgar latest


Mara baada ya kupata Uhuru wa Bendera, Mwl. Julius Nyerere alielekeza nguvu katika Uhuru wa Fikra maana aliamini bila Ukombozi wa Fikra, watanzania wataendelea kuishi utumwani. Kwahiyo akapeleka vijana wengi karibu kila kona ya dunia kuutafuta Ukombozi wa Fikra katika vyuo mbalimbali. Lakini kwa bahati mbaya wengi wakaenda kupambana na mitihani badala ya kupambana na ujinga, wakarudi kutuibia na kwenda kuficha huko nje walikosoma. Mpaka mwalimu anaondoka duniani watanzania bado tunateseka na Uhuru wa Bendera; uhuru wa wachache kuishi kama malaika na wengi kuishi kama mashetani. Uhuru unaowagawa watu kwa kipato na elimu. Ili tuwe salama tunahitaji Uhuru wa Kifikra na channel ya Denis MpagazeTV imeanzishwa kutimiza lengo hili. Ikiwa wewe ni mgeni katika channeli yetu, usisahau kuungana nasi kwa ku-SUBSCRIBE ili kupata taarifa kila tunapoweka video mpya nawe usipitwe na video zetu kila tunapoweka makala mpya.