Tanzania Campaing channel logo Tanzania Campaing
  • Custom URL: @fasihimediahouse9246
  • Country: Tanzania 🇹🇿
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 790
  • Video Views: 31.16K
  • # videos: 113
  • Category: Entertainment Hip hop music Music
  • Date Created: 2020-05-03
  • Date Updated: 2024-02-21
Audience activity: 39
Views per video: 275


Karibu FASIHI MEDIA HOUSE sehemu pekee ambayo unakutana na maudhui ya kipekee kabisa huku yakitawaliwa na ufahari wa lugha ya kiswahili. Kwetu tuna thamini michezo ya maneno , ufundi wa lugha ,makala yenye ustadi wa kidigitali na kubainisha makosa yaliyozoeleka kwenye utumiaji wa lugha ya kiswahili. Usiwaze kuhusu habari maalumu hakika utazipata hapa kwa muda sahihi zaidi. Tunakisukuma kiswahili na ubunifu wake kwenye mishe zetu na kukufanya ukitumie zaidi. Fasihi Media House ni Thamani Ya Mtaa.