A24MEDIA channel logo A24MEDIA
  • Custom URL: @a24media54
  • Country: Tanzania 🇹🇿
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 175K
  • Video Views: 189.36K
  • # videos: 12
  • Estimated Earnings: $47 - $756
  • Category: Football Sports
  • Global Rank: 323074
  • Country Rank: 339
  • Date Created: 2020-04-10
  • Date Updated: 2024-07-13
Audience activity: 1
Views per video: 15.78K
Audience growth speed: 112
Keywords: yanga yanga sc simba sc simba goli la magoli ya ALICHOKISEMA TAZAMA BBC taarifa mchezaji wa wachezaji wa jinsi ya namba ya jinsi ya diamond harmonize mange kimambi waziri serikali samia suluhu magazeti ya goals and highlights goals and extended highlights kesi ya mbowe sabaya habari mpya kikosi cha wimbo wa how to uchambuzi wa nyimbo mpya binge bungeni Leo live match live michezo live mechi yanga haji manara Ezekiel kamwaga mo dewji babra


#a24media Ni chombo cha habari mtandaoni (online)Kinachochapisha taarifa kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa Habari (Journalism ethics) kwa kuzingatia weledi pia #a24media Tumejikita zaidi kwenye kuchapisha Maudhui (content ) zinazohusiana na Michezo,Muziki,Filamu,Mitindo,siasa kwa kufuatana na uhariri (editing) wa taarifa zetu kwa nia ya •Kutoa Taarifa (habari ) zenye ukweli •Kufuata misingi ya habari kwa kuweka uwiano (balance) kwa pande zote kulingana na taarifa. •Kutokuwa na Ubaguzi (bias) wa dini ,ukabila na mambo yanayofanana na hayo ambayo yanaweza kuleta uchochezi (sadition) Muongozo kwa Wafuatiliaji (Subscribers) 1.Maoni ni Haki ya kila mmoja kila mtu anaweza kutoa 2.Mhusika #a24media ina Mamlaka ya Kukuzuia wewe Mfuatiliaji utakaye kiuka masharti na usiweze kuona taarifa zetu wala kuweza kuweka Maoni yako 3.Mfuatiliaji wetu #a24media ina Mamlaka ya kuyafuta maoni yako endapo hayatazingatia maadili mfano Lugha ya Matusi Makali au Lugha ya Kejeli ASANTE