Hii ni chanel Rasmi kwa ajili ya mafunzo ya teknolojia inayohusu simu za mkononi na computer pia kupitia Chanel hai unaweza kujifunza mbinu na mambo mbalimbali kuhusu smartphone yako na jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni.. karibu sana!