PMP GOSPEL Tv channel logo PMP GOSPEL Tv
  • Custom URL: @pmpgospeltv6882
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 37.7K
  • Video Views: 2.21M
  • # videos: 337
  • Estimated Earnings: $553 - $8.85K
  • Category: Religion Society
  • Date Created: 2016-04-19
  • Date Updated: 2024-06-20
Audience activity: 58
Views per video: 6.57K
Audience growth speed: 12
Keywords: YESU ANAKUPENDA SANA siku za mwisho marekani unabii ufunuo ywa yohana prophecy


PMP Gospel TV ni Channel ninayohusika na kukusanya video za Mahubiri ya Neno la Mungu kutoka sehemu mbali mbali kama Tanzania,Kenya,Uganda n.k. Wachungaji,Wainjilisti na waalimu mbali mbali wakitumia Maandiko matakatifu (BIBLIA) watakufundisha siri iliyofichika katika Neno la Mungu.Roho Mtakatifu na akuimarishe ukawe imara upate kumjua Mungu na Yesu Kristo Mwokozi wetu hatimaye tukutane kwake tukiwa umesimama kwa kura yetu. VIDEO HIZI ZIKAWE MBARAKA KWAKO NA WOTE UWAPENDAO. AMANI YA BWANA YESU IWE PAMOJA NA ROHO ZETU.AMINA. Endapo una Swali,Maoni na Ushauri tafadhari acha comment kwenye video husika. PMP Gospel Team +255 762 573 879|+255 713 622 226 Email:pmpstudio02@gmail.com