Dina Marios ni mtangazaji wa radio wa kipindi cha Uhondo cha E fm radio.Balozi wa Oxfam ,muanzilishi wa kitchen party gala, mwenye tuzo ya mwanamke wa mwaka Tanzania ya mwaka 2013-2014 utapata mambo yote ya kiburudani hasa kipindi cha uhondo na inspiration talks za kimaisha.