Mume wangu amezindua nyimbo yake mpya ya kwanza kabisa inaitwa NAKUPENDA BABY by S.David INAPATIKANA BOOMPLAY... Apple music TikTok na Mitandao yote inayosambaza nyimbo.... nahitaji naomba support kwa baba wa kitumbua..... Nawapenda