SIRJEFF DENNIS. channel logo SIRJEFF DENNIS.
  • Custom URL: @sirjeff_dennis
  • Country: Tanzania 🇹🇿
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 56.7K
  • Video Views: 1.21M
  • # videos: 25
  • Estimated Earnings: $302 - $4.84K
  • Category: Knowledge Religion Society
  • Date Created: 2013-06-28
  • Date Updated: 2024-06-30
Audience activity: 21
Views per video: 48.41K
Audience growth speed: 14
Keywords: Biashara uchumi ujasiriamali fedha pesa utajiri ujuzi maisha forex trading money forex kiswahili forex tanzania forex strategy forex broker sirjeff sirjeff dennis maaarifa elimu ya pesa utajiri kutajirika kilimo mafanikio


Naitwa Sirjeff Dennis, nimetengeneza hii channel kwa ajili ya kukusaidia wewe, bila kujali background uliyotokea kuweza kujifunza na kuelewa zaidi mambo mengi kuhusu biashara, ujasiriamali, uchumi binafsi, uchumi wa kitaifa, uchumi wa kimataifa, uwekezaji na mambo mengi muhimu unayohitaji ili ufanikiwe kifedha Nimeanza biashara katika umri mdogo sana, na ndipo nilifahamu raha ya kuwa na pesa. Muda wangu mwingi nikiwa Shule ya sekondari Ihungo, JKT Kanembwa na Chuo Kikuu cha DSM niliutumia kufanya biashara na kujijenga kiuchumi, japo nilisoma masomo ya sayansi (BSc. Petroleum Chemistry). Nimekuwa featured katika news media kubwa duniani ikiwemo Forbes, CNN, BBC World Service, How we made it in Africa, Venture Africa, SABC, DW TV n.k. Nikiwa na miaka 21 nilitajwa miongoni mwa wajasiriamali bora zaidi Africa wa umri mdogo na Mastercard Foundation na African Leardership Academy. Nikiwa na miaka 22 (2016) nilifanikiwa kuingiza milioni 100 yangu ya kwanza kabisa. KARIBU SASA TUJIFUNZE