Mwendokasi Tv channel logo Mwendokasi Tv
  • Custom URL: @mwendokasitv.
  • Country: Tanzania 🇹🇿
  • Description language: Swahili

  • YouTube channel type
  • Audience: 1.13M
  • Video Views: 106.52M
  • # videos: 5,408
  • Estimated Earnings: $26.63K - $426.07K
  • Category: Politics Society
  • Global Rank: 50364
  • Country Rank: 32
  • Date Created: 2015-11-02
  • Date Updated: 2024-07-11
Audience activity: 94
Views per video: 19.7K
Audience growth speed: 355
Keywords: diamond zuchu simulizinasauti harmonize mwendokasitv marioo mapenzi clamvevo joti wasafifestival wasafitv alikiba thestorybook millardayo gobaltvonline


Mwendokasi TV ni chombo cha Habari kinachozingatia weledi na maadili kwa kiwango cha Juu kutoka katika muongozo wa maadili ya uandishi wa Habari nchini. Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha karola kwa watu mashuhuri kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake. Kktokuingilia faragha ya mtu. Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi. Mwendokasi Tv inaruhusu Maoni ya mtazamaji yasiyovunja maadili na tamaduni zetu na nchi yanapewa nafasi kama sheria ya nchi inavyoelekeza na yanayokiuka tunayaondoa Kabisa. Mwendokasi Tv "We Run Together "