Mapande Comedy ni Kundi la vijana wa uchekeshaji ambao wanakuja na kuibuka kwa kasi.. Kikubwa tunawaomba wapenzi wa MAPANDE ni ku'share link yetu, Ku- subscribe ku'like pamoja na ku'coment. asante🙏